kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
MKUTANO WA KUJADILI FURSA KATIKA KILIMO TAREHE 5 FEBRUARI 2011 SAA 8 KAMILI MCHANA LUNCH TIME HOTEL
wakuu wa JF, heshima zenu!! nachukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa baada ya kujadili kwa kina masuala ya kilimo na ufugaji kupitia hapa JF (hasa kupitia thread yaTujiunge na kuanzisha JAMII FARM na nyinginezo tumeona ni vema tufanye mkutano maalum kujadili masuala ya uwekezaji katika kilimo na ufugaji. Madhumuni ya mkutano huu ni kubadilishana taarifa na uzoefu katika uwekezaji katika sekta ya kilimo na ufugaji. aidha itakuwa ni kikao muafaka katika kupeana taarifa mbalimbali za fursa katika kilimo na ufugaji. Huu utakuwa ni mwendelezo wa mkutano tuliofanya mwaka jana.
mkutano huu tarehe 5 Februari 2011 jijini Dar es salaam pale LUNCH TIME HOTEL kuanzia saa 8.00 kamili mchana. Gharama ya kushiriki ni 15,000/= kwa kila mtu (ukumbi na refreshments). hotel ya Lunchtime (LUNCH TIME HOTEL) ipo along Mandela Road opposite na kituo cha Mabibo Hosteli na si mbali kutoka Ubungo EXTERNAL)
mpaka sasa waliothibitisha kushiriki ni wafuatao:
naomba kuwafahamisha kwamba mchango kwa ajili ya gharama za mkutano zimeanza kupokelewa. kwa hiyo naomba mtumie MPESA kuweka 15,000 tulizokubaliana.. namba ni 0759 44 45 46. ukitaka kunipigia ku-confirm naomba utaje jina lako kama lilivyo hapo juu niweze kujua.nitakuwa natoa update kila siku kuhusu hali ya michango kwa uwazi!!.
Ratiba imeambatanishwa
ukiwa na swali usisiste kuuliza
"PAMOJA TUNAWEZA"

- KANYAGIO ----- mchango tayari
- MALILA ----- mchango tayari
- TITO ----- huyu kalipa advance ya ukumbi (so keshalipa)
- MGOMBEZI ---- keshatuma kwa MPESA (15,500)
- MGOMBEZI FRIEND ---- keshatuma kwa MPESA (15,500)
- ELNINO- kasema katuma ila sijazipokea, naomba afuatilie tafadhali
- Mouna Lyaruu (KASOPA FRIEND NO. 1)
- Raiya Rashid (KASOPA FRIEND NO. 2)
- ZAHOR SALIM --- keshatuma kwa MPESA (16,000)
- NEW MZALENDO -- kasema katuma ila sijazipokea, naomba afuatilie tafadhali
- TGS D
- REALTOR
- MASAKI
- STREET SMART
- LEN
- BABALAO
- THE INVESTOR--- keshatuma kwa MPESA (15,000)
- MASIKINI JEURI
- SABI SANDA
- DORISVETY
- CARMEL
- RAMTHODS
- BENNET (wa mitiki blog)
- GAMAHA
- AMBASSADOR
- KIBANANHUKHU
- TZ_Investor
- REALTOR FRIEND
- Maxence Mello
- JOKA KUU (nimekuweka ingawa kwenye post yako hujaonyesha kama unashiriki)
- MKESHAHOI
- ELNINO FRIEND
- JF MARKETER
- KAGEMULO