Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #21
haha. tatu humalizi weweMimi napiga kuanzia 3 hizo mbili mazoea tu
hayo makadirio ya chini mkuu tuhaha. tatu humalizi wewe
hahahahahahuko chapati muipate wapi? labda ukoko ule wa ugali kwenu ndo chapati
inategemea na ukubwa wa chapatihayo makadirio ya chini mkuu tu
hata kwa dawa kolomije kwa bashite sikanyagihahahahaha
Karibu koromije mkuu
Nashangaa mgeni unakalia kiti cha baba mwenye nyumbaOkay, nimekupata mkuu, maana ni thread nyingi tu naona watu wanasema nimemshikia nafasi Jose!
Sasa nikawa sielewi kitu.
Aseeh tulete mashindano nini mkuu uaminiinategemea na ukubwa wa chapati
kama chapati ni nyembamba sana unakula hata 5. but chapati nzito humalizi tatu mkuu
Interview ako inapigwa Lin?kwa maan nahic Nina maswal mpk nataman nianze kujiuliza kwanza mimiSio kweli watu tunapiga chapati hata 5 mara moja paap
interview bado aisee na sijui kama itawezekana siku za hapa karibuniInterview ako inapigwa Lin?kwa maan nahic Nina maswal mpk nataman nianze kujiuliza kwanza mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi sasa hivi? Au watu wanafanya kwa mazoea?Kipindi cha nyuma chapati moja ilikuwa ikiuzwa 200 na chai ya rangi shilingi 100....so ukiagiza chapat 2 na chai unalipa 500....simple bajeti na rahisi kulipa pia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuyafanyie wapi sasaAseeh tulete mashindano nini mkuu uamini
Wewe utakapoona panafaa hotelini au mgahawaniTuyafanyie wapi sasa
Twende hoteliniWewe utakapoona panafaa hotelini au mgahawani
weka video
Wapi??Twende hotelini