Chai na Chapati mbili

Chai na Chapati mbili

ea80bdd45b2166b3ec6684e75cb048e0.jpg
MBONA MM JUZI TU NIMELIPIA WAMEANZA LINI HAWA KUTOA BURE
Rekebisha kauli
Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili?

Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na chapati tatu, au chai na chapati moja.

Wengi utasikia, nipe chai na chapati mbili, au nipe chapati mbili na maharage.

Kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa sababu ngano ya chapati inashibisha sana kwa hiyo anasikilizia pumzi yake...


Ila mimi chapati mbili hazinitoshi...


Cc: mahondaw
 
Aisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JF
My sweet kaka [emoji137]
 
makadirio ya chini ni 5+ hapo ndio naanzia

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Huyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4
 
Back
Top Bottom