[emoji13] [emoji13] [emoji13]weka video
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Siku moja nije tushindane nini?
We unakula ngapi?Siku moja nije tushindane nini?
Sent from my iDevice using Tapatalk
makadirio ya chini ni 5+ hapo ndio naanzia
Karibu kwa shindanomakadirio ya chini ni 5+ hapo ndio naanzia
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sponsor ni nani?? nianze kujifua...
DabySponsor ni nani?? nianze kujifua...
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sawa am ready
Chapati kavu kavu au na soda, chai , supu au maharagwe?
VyovyoteChapati kavu kavu au na soda, chai , supu au maharagwe?
Sent from my iDevice using Tapatalk
okay...location??
Kuna sehemu pale sina Palestina. Chapati moja ni 500okay...location??
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Palestina tena?? Nchi za watu huko?Kuna sehemu pale sina Palestina. Chapati moja ni 500
ok......ok......ok.......Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili?
Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na chapati tatu, au chai na chapati moja.
Wengi utasikia, nipe chai na chapati mbili, au nipe chapati mbili na maharage.
Kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
I meant sinza Palestina[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Palestina tena?? Nchi za watu huko?
Sent from my iDevice using Tapatalk
Za ukubwa gani
Naam mama
mkuu mimi sio mwenyeji wa DarI meant sinza Palestina