Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #61
So what shall we do?mkuu mimi sio mwenyeji wa Dar
Cancel tuSo what shall we do?
Rekebisha kauliMBONA MM JUZI TU NIMELIPIA WAMEANZA LINI HAWA KUTOA BURE
Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili?
Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na chapati tatu, au chai na chapati moja.
Wengi utasikia, nipe chai na chapati mbili, au nipe chapati mbili na maharage.
Kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Chagua eneo mm nijeCancel tu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Unajua mkuu kila mtu ana definition yake ya kawaida
Ngoja nikiwepo Dar labdaHapana. Chagua eneo mm nije
My sweet kaka [emoji137]Aisee ni hivi, kuna kipindi watu walizoea kuniona hapo juu thread ikifunguliwa tu naanza kujibu ndio ikawa mazoea... Wewe usijali mkuu ukipata nafasi changia uwezavyo hiyo nafas sio yangu ni kwa mtu yeyote hapa JF
Yes sweet Dada [emoji173] [emoji87]My sweet kaka [emoji137]
Miss more[emoji182]Yes sweet Dada [emoji173] [emoji87]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Dada nitakupigia, nilikuwa busy kidogo...wewe tena!!??[emoji120] [emoji120]Miss more[emoji182]
Huyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4makadirio ya chini ni 5+ hapo ndio naanzia
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Huyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4makadirio ya chini ni 5+ hapo ndio naanzia
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Aisee kuna watu wanapiga menu balaaHuyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4
Wewe ulikua unakula chapati zenye wembamba w wembeHuyu jamaa anaongea nn? Nilipokua mgodini, nilikua napiga chapati 6 na supu bakuli kubwa na sambusa 4
Hata upige vipi, huwez kula chapati 6 za ukubwa unaohitajikaAisee kuna watu wanapiga menu balaa
Sent from my iDevice using Tapatalk