chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Habari za mapumziko wana MMU!!
Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.
Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
=======================================
------------------------UPDATES---------------------
Habari za wakati huu wakuu,.
Mazishi ya kumpumzisha dada yetu utafanyika siku ya Ijumaa majira ya Saa 7 mchana, ibada ya kumuaga itafanyika Kanisa La KKKT Nkwarungo.
Kwa mtakaoweza kushirikiana nasi ni rahisi tu, kama unatokea Arusha au Moshi unapanda gari zinazoelekea Machame kisha unateremka kituo cha Machame Hospital, hatua chache kutoka hapo ndipo kanisa lilipo.
Nashukuru kwa Ushirikiano wenu wadau.