Chakii amefiwa na dada yake



------------------------UPDATES---------------------

Habari za wakati huu wakuu,.

Mazishi ya kumpumzisha dada yetu utafanyika siku ya Ijumaa majira ya Saa 7 mchana, ibada ya kumuaga itafanyika Kanisa La KKKT Nkwarungo.

Kwa mtakaoweza kushirikiana nasi ni rahisi tu, kama unatokea Arusha au Moshi unapanda gari zinazoelekea Machame kisha unateremka kituo cha Machame Hospital, hatua chache kutoka hapo ndipo kanisa lilipo.

Nashukuru kwa Ushirikiano wenu wadau.
 
pole sana chakii may God grant you the strength to face the loss of your loved one
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, Mungu awape faraja ninyi nyote wa familia yenu
 
Pole sana Mpendwa
Mungu awape nguvu na ujasiri katika wakati huu mgumu
 
Poleni wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…