CHAKRA: Gurudumu la nishati katika mwili wa mwanadamu

Ontario wa forex nae alianza hivi hivi[emoji1][emoji116]


"Watu waliofanikiwa sana katika dunia hii wanatumia chakra na kanuni za ulimwengu kutawala dunia; na hawataki mimi na wewe tuyajue maarifa haya, kwani watashindwa kututawala. Kuwa mmoja wao kwa kuanza na chakra"
 
hahahahah! So na huyu mwisho wa yote utasikia akimalizia kwa kusemaje?
 
Kumbuka pia..ili kufungua Chakra ya jicho la tatu..ni muhimu Chakra zote ziwe kwenye uwiano mzuri..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…