Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT.
Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha awali (Chama Cha Walimu Tanzania _CWT).
Swali ni je, inawezekana haya ni mabadiliko ya kifikra miongoni mwa walimu au wanafuata unafuu wa makato?
Je, huu ni mwisho wa CWT? Unaambiwa kuwa kuna baadhi ya shule walimu wote wamehamia CHAKUHAWATA!