CHAKUHAWATA chaendelea kusajili idadi kubwa ya wanachama

CHAKUHAWATA chaendelea kusajili idadi kubwa ya wanachama

Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT.

Wilayani Butiama mkoani Mara kumekuwa na kasi kubwa ya uhitaji na ujazaji wa fomu za kujitoa kwenye chama chao cha awali (Chama Cha Walimu Tanzania _CWT).

Swali ni je, inawezekana haya ni mabadiliko ya kifikra miongoni mwa walimu au wanafuata unafuu wa makato?

Je, huu ni mwisho wa CWT? Unaambiwa kuwa kuna baadhi ya shule walimu wote wamehamia CHAKUHAWATA!
Hii ni ya kupongeza sana CWT wenda imekua chanzo cha walim kuzaulika, so mwl anaejitambua lala mbele
 
Japo mimi pia ni mwalimu but mwalimu wa chuo. Walimu wenzangu mnafeli sana, yaan chama umekichangia miaka nenda rudi, unahama sababu makato ni kidogo,ccm ni chama tawala na mambo yenyu yataenda vizuri endapo chama chunyu kitakaa vizuri na serikali iliyopo madarakani. Hiko chama kipya kipo kimaslahi tu
 
Back
Top Bottom