Neno concentrate Kwa Muktadha wa chakula, haujalikosea. Kuna Beef concentrate, Swine/ pig concentrate n.k.Mkuu mimi ni mfugaji tu na sio mtaalamu wa chakula, na maana niliyotoa ni kwa mujibu wa watu wanaotuuzia hizo concentrate ndio wanatuambia hivo
Kwahiyo kama nimekosea karibu unisahihishe, inawezeana kwa namna moja au ingine tunadanganywa na Hawa wauzaji, kwahiyo kuliko kuishia kucheka ni bora ukatusaidia kutupa ukweli juu ya hizi concentrate
Okay shukrani kwa masahihisho,Mkuu umetangaza biashara yako ikiwa nusu sasa sijui wateja utatupata vipi
Tumejua mnauza koudjis concentrate ila hatujui bei,hatujui mnapatikana wapi,hatujui mawasiliano yenu
Nadhani ungekamilisha taarifa za msingi ili wafugaji tuone kama inawezekana kufanya kazi pamoja
Weka bei mjomba mbona kama unapindisha?Okay shukrani kwa masahihisho,
Tunapatikana Machava Kigamboni Dar es salaam, kupitia barabara inayoenda mji mwema ukitokea ferry ya Kigamboni tunatazamana na kambi ya jeshi naval,
Mawasiliano ni 0714128565
Tzs 157,000/= mfuko wa kg 50Weka bei mjomba mbona kama unapindisha?
Duh! SawaTzs 157,000/= mfuko wa kg 50
Ndiyo boss, karibuDuh! Sawa
Ahsante mkuu, kwahiyo hiyo concentrate unachanganya na pumba tu au mahindi tu?Ndiyo boss, karibu
Ukiwa na mahindi ni fresh zaidi Ila ukikosa pumba ya mahindi ni bora pia,Ahsante mkuu, kwahiyo hiyo concentrate unachanganya na pumba tu au mahindi tu?