Hapo unatengeneza watoto wengi(mbegu nyingi) na sio nguvu za kiume.Nguvu za kiume haziji kwa chakula pekeyake Bali ni vitu 3.Kula Karanga mbichi na maziwa fresh kila jion
Mleta mada fanyia kaziHapo unatengeneza watoto wengi(mbegu nyingi) na sio nguvu za kiume.Nguvu za kiume haziji kwa chakula pekeyake Bali ni vitu 3.
1.Mazoezi
2.chakula
3.utulivu wa akili wakati wa tendo.
Full stop ...
Usimpe siri kinachonifanya nikuridhishe bibie[emoji23]Kula Karanga mbichi na maziwa fresh kila jion
Ha ha ha nafunga mdomo wanguUsimpe siri kinachonifanya nikuridhishe bibie[emoji23]
Umeona eeeHapa mnazungumzia nguvu za kiume Kwa maana ya uwezo wa kuwapa ujauzito wake zenu au nguvu za kupiga game muda mrefu na kumridhisha mwenzako mana naona watu wanataja vyakula vinavyosaidia utengenezaji wa mbegu kiwandani Vipi pumzi ya mchezo wenyewe yaani stamina ya kusimamia game yote ?
Hapo umenena, hiyo ni dawa tosha mkuu kwa swali lake.
Push up!!!!! Sawa,nimekuelewa mkuuVitu vitatu vya kuzingatia,kula vya kula vyenye madini kama calcium,zinc,irone,na vyakula vyenye proteans za kutosha
Pili Fanya sana mazoezi ya kuruka kamba,kukimbia na push up kwa wingi at least kwa siku zifke 100.
Pia relax wakati Wa tendo la ndoa.
Kwani hapo unaongeza nguvu au sperm???Kula Karanga mbichi na maziwa fresh kila jion