Chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Kula mlo kamili,ongeza karanga mbichi,mhogo mbichi,nazi mbichi,mbegu za mboga,kitunguu swaumu,kitunguu maji fresh,kahawa,mengine yanafuata.
 
Achana na pombe, alchol inapunguza nguvu za kiume, kunywa chai yenye asali original, ikiwezekana weka majani ya green tea. Then come uje utoe ushuhuda hapa
 
Hapa mnazungumzia nguvu za kiume Kwa maana ya uwezo wa kuwapa ujauzito wake zenu au nguvu za kupiga game muda mrefu na kumridhisha mwenzako mana naona watu wanataja vyakula vinavyosaidia utengenezaji wa mbegu kiwandani Vipi pumzi ya mchezo wenyewe yaani stamina ya kusimamia game yote ?
Umeona eee
 
Kula ndizi tatu kila siku,kula karanga mbichi na maziwa kila siku.kula tango moja bila kumenya kila siku,kula kipande cha tikiti kila siku na mbegu zake.acha kula vyakula vya mafuta .na ule sea species kila siku
 
Tafuta Kasongo ya kutoka congo watapiga mbinja wote wakitoka kwako! Achana na pweza unaweza kumaliza bahari halafu bado shoka moja mbuyu chini.
 
Ingia gym upate pumzi yakutosha
 
1465980848236.jpg
 
Vitu vitatu vya kuzingatia,kula vya kula vyenye madini kama calcium,zinc,irone,na vyakula vyenye proteans za kutosha
Pili Fanya sana mazoezi ya kuruka kamba,kukimbia na push up kwa wingi at least kwa siku zifke 100.
Pia relax wakati Wa tendo la ndoa.
 
Vitu vitatu vya kuzingatia,kula vya kula vyenye madini kama calcium,zinc,irone,na vyakula vyenye proteans za kutosha
Pili Fanya sana mazoezi ya kuruka kamba,kukimbia na push up kwa wingi at least kwa siku zifke 100.
Pia relax wakati Wa tendo la ndoa.
Push up!!!!! Sawa,nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom