Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mazoezi yapi ya akili au mwili maana maisha haya kwa sasa chini ya JPM ni mazoezi toshaMazoezi hamtaki kufanya mnataka vyakula vya kuongeza nguvu..nakuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoezi yapi ya akili au mwili maana maisha haya kwa sasa chini ya JPM ni mazoezi toshaMazoezi hamtaki kufanya mnataka vyakula vya kuongeza nguvu..nakuonea huruma
🙁🙁🙁🙁 umejitahi kuandika pumbanguvu=kula nusu mkia wa ng'ombe , karanga mbichi na safari larger tatu uone mambo, kama ni mkongo kula supu ya ngedere uone mchezo
We umejuaje?Je ni vyakula gani au nini cha kufanya ili mwanaume aweze kupiga bao zaidi ya 2..maana kuna jamaa alikuwa anakula supu ya pweza napo tatizo badooo lipooo
totoo. Yaelekea wewe ni mtaalam sana mtoto mzuri heeeeeeeeeeeeee!!!!!Kula Karanga mbichi na maziwa fresh kila jion
Sanaa ikishindikana nitamtafutia mkuyatitotoo. Yaelekea wewe ni mtaalam sana mtoto mzuri heeeeeeeeeeeeee!!!!!
Ushawahi kuchapwa na mtu aliepiga mkuyati???Sanaa ikishindikana nitamtafutia mkuyati
Bado mkuu ila kuna demu najua alichapwa na MTU alipiga mkuyati alisema nilikuwa karaha badala ya rahaUshawahi kuchapwa na mtu aliepiga mkuyati???
Hahahahaa... Nilitaka niulize ni jamaa au ni yeyee, Maana nashindwa kuelewa amejuaje JAMAA HANA NGUVU?Jamaa au mwenyewe? Kama huna nguvu huna tu, utakula kila kitu hatma yake utaishia kunenepeana ovyo ushindwe kabisa tendo lenyewe.
Owkey,Bado mkuu ila kuna demu najua alichapwa na MTU alipiga mkuyati alisema nilikuwa karaha badala ya raha
Hahaha! Umenikumbusha juzi kati kuna rasta mmoja tanroad alimchapa mwanafunzi mmoja wa form 4 demu alitapika balaa hadi leo demu hana hamu kabisa na wanaume sijui jamaa alikuwa ameshatupia jani!Bado mkuu ila kuna demu najua alichapwa na MTU alipiga mkuyati alisema nilikuwa karaha badala ya raha
asante babaa kwa kutoa jibu zurHizo nguvu ukipata za nn sasa km huna hela,mke atakula nguvu,hiyo juhudi ya kutafuta nguvu za kiume ukiitumia kumtafuta mungu na hela itapendeza sana
kula vyakula kama ugali wa dona, vilevile hakikisha unakula matikiti maji ambayo husaidia kuinua uume katika muda mchache sana baada ya goli la kwanza, jambo la pili hakikisha kwenye chai ya rangi unaweka tangawizi hii husaidia katika kuchelewa kumwaga na hivyo unaeza kwenda hata dakika 20 na hujamwaga. Jambo la tatu, kula vyakula kama karanga kwa ajili ya kufanya uwe na mbegu nyingi. kuhusu mazoez fanya sit ups kama 300 kwa siku yaan150 asub na jion pamoja na push up 150 asubuh na 150 jion hizo pia zitakusaidia uwe na pumzi.Je ni vyakula gani au nini cha kufanya ili mwanaume aweze kupiga bao zaidi ya 2..maana kuna jamaa alikuwa anakula supu ya pweza napo tatizo badooo lipooo