Taja sehemu wanapouzwa acha longo longoSoko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
Hiii sio longo longo
Unazungumzia mende wanaopatikana wapi?Soko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
Huyo mtu wa kukaanga mende ni nan?Soko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
Ni mtu tu yeyote ambaye ataamua kufuga maana ni miongoni mwa Aina ya kilimo Cha ufugaji yaani ufugaji wa MENDE ko ni fursa tosha kwa vijana.Huyo mtu wa kukaanga mende ni nan?
Mimi mfugaji au?? Maana Mimi sitak kabsa kunusa halufu yake
Watajua maana MENDE mmoja anatakiwa awe na gramm tano na awezi kuifikisha bila kupewa hivyo vyakula na pia MENDE ambaye anakula kinyesi anajulikana kuanzia rangi mpaka harufu Kali.Na nikianza kufunga swala La kuwalisha sijui mayai, pumba hiyo gharama ya nini,
Nachimba Choo cha shimo nawafugia humo
Kwan walaji watajua hao mende wamekula nini?!
Tatizo watu wanakalili maisha wanazania nimejitungia wakati Mimi hapa hii biashara naifanya na inalipa Sana kuliko hata kukuWana jf hii sio uongo niliona mkoani njombe kuna mkaka anafuga na kula pia na ilishawah rushwa katika taarifa ya habari tbc now like three weeks zimepita