Chakula cha mende ni bora sana kwa afya ya binadamu

Soko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
Taja sehemu wanapouzwa acha longo longo
 
bongo upigaji mwingi halafu wa kipumbavumbavu hwlafu ukienda kichwa kuchwa ukaamini umeliwa
 
Write your reply...leta vyanzo vya habari toka WHO sio wajiropokea ww na mamende yako tukuelewe hapa
 
Soko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
Unazungumzia mende wanaopatikana wapi?
 
Soko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
Huyo mtu wa kukaanga mende ni nan?
Mimi mfugaji au?? Maana Mimi sitak kabsa kunusa halufu yake
 
Na nikianza kufunga swala La kuwalisha sijui mayai, pumba hiyo gharama ya nini,
Nachimba Choo cha shimo nawafugia humo
Kwan walaji watajua hao mende wamekula nini?!
 
bongo upigaji mwingi halafu wa kipumbavumbavu hwlafu ukienda kichwa kuchwa ukaamini umeliwa
Tatizo bongo nyoso wanaishi kwa kukalili maisha unazania hapa kunaupigaji hela?
 
Huyo mtu wa kukaanga mende ni nan?
Mimi mfugaji au?? Maana Mimi sitak kabsa kunusa halufu yake
Ni mtu tu yeyote ambaye ataamua kufuga maana ni miongoni mwa Aina ya kilimo Cha ufugaji yaani ufugaji wa MENDE ko ni fursa tosha kwa vijana.
N•B;KINYAAA HAKIRUHUSIWI KAMWE
 
Na nikianza kufunga swala La kuwalisha sijui mayai, pumba hiyo gharama ya nini,
Nachimba Choo cha shimo nawafugia humo
Kwan walaji watajua hao mende wamekula nini?!
Watajua maana MENDE mmoja anatakiwa awe na gramm tano na awezi kuifikisha bila kupewa hivyo vyakula na pia MENDE ambaye anakula kinyesi anajulikana kuanzia rangi mpaka harufu Kali.
 
Wana jf hii sio uongo niliona mkoani njombe kuna mkaka anafuga na kula pia na ilishawah rushwa katika taarifa ya habari tbc now like three weeks zimepita
 
Tatizo watu wanakalili maisha wanazania nimejitungia wakati Mimi hapa hii biashara naifanya na inalipa Sana kuliko hata kuku
 
Back
Top Bottom