Chakula cha moto kina madhara gani mwilini?

Ulimi na meno na kinywa kwa ujumla ndio vinaumia kama chakula nincha moto mkali.
 
Chakula cha moto kina madhara gani mwilini?

Nikimaanisha ni viungo gani vinaathirika?

Sijakuelewa! Unawezaje kumeza chakula Cha moto?

Jaribu kunyuwa chai Kama unavyokunywa maji halafu kesho utupe Majibu mkuu
 
Nimemaanisha chakula kilichoipuliwa jikoni moja kwa moja kikapelekwa mezani na kuanza kuliwa

Hiki kitendo kiwe kimefanyika ndani ya dakika 1-2
 
Back
Top Bottom