CHUKURUMA
New Member
- Apr 18, 2019
- 3
- 0
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Batenga, ameonya baadhi ya wananchi wilahaji humo wanaotumia nafaka kutengeneza pombe kuwa waache mara moja kwani atawakamata
Batenga ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Dosidosi, Orkine na Magungu Aprili 5.2023
Amesema kama kuna mtu anataka kunywa pombe akanunue za dukani lakini asihangaike na zile zinazopikwa kienyeji kwa kutumia nafaka
"Afisa Tarafa, Mtendaji wa Kata na Kijiji hakikisheni atakayepika pombe kwa kutumia nafaka akamatwe na afikishwe mahakamani"
Kuna chakula cha msaada kinachotolewa na Serikali naagiza atakayetumia mahindi hayo kupiki pombe akamatwe alisema DC Batenga.