Chakula cha mtoto baada ya miezi 6

Chakula cha mtoto baada ya miezi 6

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
Habari. Naomba kujua aina ya chakula au vyakula anavyotakiwa kula mtoto baada ya miezi 6 ukiacha uji.
 
Nenda kule jf chef kuna thread nzuri siwezi kuweka link ila heading ni " umpe chakula gani mtoto wa miezi 6" kama sikosei. Ile thread itakusaidia.
 
Ahasante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom