Chakula cha Obama

Chakula cha Obama

salum mabura

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Nilisikia rais oama hatotumia chakula wala kinywaji cha Tanzania!
Swali langu hivi tunaweza kusema kile chakula cha jioni kilipikwa na Marekani akakaribishwa Kikwete?
 
Karibu JF....
alikuja na mchele na kuku wake na wapishi wake!!!
 
Karibu sana JF...
Huku hatudiskasi habari za misosi...
 
Back
Top Bottom