Chakula cha siku hizi hakina ladha wala harufu ya kuvutia

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Sijui kama mshaligundua hilo

siku hizi jirani akipika wali huwezi kujua, sio kama miaka ya 90 huko mtu akikorofisha madiko diko basi watoto hatulali..

Tukija kwenye Ngunga ishu ni ile ile, hakuna ladha kabis wala ile harufu yake ya kuvutia.

vyakula vya leo ni kama tunakula ganda la mua la jana
 
si kwetu vinanukia sana tu majirani full kuumizana pua👌
 
Sijui kama mshaligundua hilo

siku hizi jirani akipika wali huwezi kujua, sio kama miaka ya 90 huko mtu akikorofisha madiko diko basi watoto hatulali..

Tukija kwenye Ngunga ishu ni ile ile, hakuna ladha kabis wala ile harufu yake ya kuvutia.

vyakula vya leo ni kama tunakula ganda la mua la jana
Ili wali unukie ama ugali we uungze tu 🤣 utasikia jirani unaunguza uko
 
Back
Top Bottom