third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
UKWELI / UHALISIA..🧘🏿♂️🧘🏾♀️
🎈Ukweli ni ukamilifu usiotegemea umbo Wala Hali Wala sababu katika kujizihilisha kwake..Ukweli ni kuwa hukuwahi kuzaliwa Wala hayo yote ulio nayo hayapo..ila uhalisia ni kuwa ulizaliwa na haya ulio nayo yapo 😀😀.
⚖️Uhalisia ndio unao leta maana katika Maisha.. yaani maisha yakaleta maana na furaha...
🔊uhalisia unaumbwa na matukio mbali mbali, maumbile mbali mbali, na Hali tofauti tofauti....
👉Ukweli ni mmoja tuu!!! Ila uhalisia upo wa kila Aina....
🗣️LENGO la kupata UTAMBUZI SI ku UJUA ukweli tuu.. Bali kujua sisi ndio huo ukweli wenyewe!!!
🌍Nyuma ya uhalisia huu wa hii vurugumechi ya hapa Duniani Kuna Ukweli ambao ndio wewe!!! Wewe ndio huo ukweli wenyewe..ukweli huo ndio Mungu Mwenyewe!!
🗣️Ni muhimu kuu ujue ukweli ili kung'amua movie hili la maumbile na matukio wanayo tumia wachache kujinufaisha pia linalo tutesa sisi wenyewe ..
🌍Ukweli Ni kuwa Duniani Hakuna lolote. Wala Hakuna lolote liliwahi kuumbwa. linalo onekana Kama Hali au vitu na yote unayo yaona ni uhalisia tulo utengeneza sisi...🤔
🗣️Hata, Magonjwa, utajiri au umasikini vipo kwakua tume taka viwepo 😀😀
⚰️🧟♂️Eti unasikia mtu Kamua mtu Mwingine kwa uchawi.. pale alicho fanya ni mazingaombwe Yale Yale!!!
👉Ndio maana Kuna usemi unasema Hakuna lisilo wezekana maana yote yapo kwakua tumetaka yawepo..
🎷UTAMBUZI Ni Mwanga utakao kumulikia haya yote....🔅🔅🔅🧘🏿♂️🧘🏿♂️🧘🏿♂️
🙏🙏🙏🙏🙏🙏