third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
UKWELI / UHALISIA..๐ง๐ฟโโ๏ธ๐ง๐พโโ๏ธ
๐Ukweli ni ukamilifu usiotegemea umbo Wala Hali Wala sababu katika kujizihilisha kwake..Ukweli ni kuwa hukuwahi kuzaliwa Wala hayo yote ulio nayo hayapo..ila uhalisia ni kuwa ulizaliwa na haya ulio nayo yapo ๐๐.
โ๏ธUhalisia ndio unao leta maana katika Maisha.. yaani maisha yakaleta maana na furaha...
๐uhalisia unaumbwa na matukio mbali mbali, maumbile mbali mbali, na Hali tofauti tofauti....
๐Ukweli ni mmoja tuu!!! Ila uhalisia upo wa kila Aina....
๐ฃ๏ธLENGO la kupata UTAMBUZI SI ku UJUA ukweli tuu.. Bali kujua sisi ndio huo ukweli wenyewe!!!
๐Nyuma ya uhalisia huu wa hii vurugumechi ya hapa Duniani Kuna Ukweli ambao ndio wewe!!! Wewe ndio huo ukweli wenyewe..ukweli huo ndio Mungu Mwenyewe!!
๐ฃ๏ธNi muhimu kuu ujue ukweli ili kung'amua movie hili la maumbile na matukio wanayo tumia wachache kujinufaisha pia linalo tutesa sisi wenyewe ..
๐Ukweli Ni kuwa Duniani Hakuna lolote. Wala Hakuna lolote liliwahi kuumbwa. linalo onekana Kama Hali au vitu na yote unayo yaona ni uhalisia tulo utengeneza sisi...๐ค
๐ฃ๏ธHata, Magonjwa, utajiri au umasikini vipo kwakua tume taka viwepo ๐๐
โฐ๏ธ๐งโโ๏ธEti unasikia mtu Kamua mtu Mwingine kwa uchawi.. pale alicho fanya ni mazingaombwe Yale Yale!!!
๐Ndio maana Kuna usemi unasema Hakuna lisilo wezekana maana yote yapo kwakua tumetaka yawepo..
๐ทUTAMBUZI Ni Mwanga utakao kumulikia haya yote....๐ ๐ ๐ ๐ง๐ฟโโ๏ธ๐ง๐ฟโโ๏ธ๐ง๐ฟโโ๏ธ
๐๐๐๐๐๐