CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya

CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Posts
870
Reaction score
170
Wadau katika pitapita yangu ndani mtandao, nkapitia forum moja hivi nikakuta mada hiyo hii "CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya"
Si vibaya nanyi mkaijadili kama walivyofanya wadau wa ile forum.

couple-man-sleeping.jpg
Zamani ilikuwa ni wanaume waliokuwa wakilalamika, kwamba wake zao hawataki kuwapa chakula cha usiku kama wanavyotaka. Lakini baadae yaani siku hizi ni zamu ya wanawake kulalamika.

Katika nyumba nyingi siku hizi hasa mijini wanawake ndio wanolalamika zaidi kukosa chakula cha usiku kama wanavyotaka kutoka kwa waume zao.

Kwa nini hali hii?

Ukweli ni kwamba maisha yamebadilika sana na kila mtu anajitahidi sana kutaka kuhahakisha kwamba anafanya kazi hadi anaishiwa nguvu kabisa, akili na mwili vinachoka. Wanaume wengi wanaolalamikiwa na wake zao kuhusu kupata uhaba wa chakula cha usiku ni wale wanaofanya kazi sana.

Ningependa kuwashauri wanaume kwamba wakati wanafanya kazi zao mchana wakumbuke kwamba kuna wake zao wapendwa ambao wanawasubiri jioni kuzungumza nao na zaidi ya hapo. Wakumbuke hawajaoa kazi bali wameoa wake. Pamoja na kwamba ni muhimu kwao kufanya kazi, lakini wakumbuke kwamba kazi hazina mwisho.

Kuna jambo ambalo wanaume na hata wanawake hawalijui vizuri, hili ni lile linalohusu mazoezi. Mtu anapofanya mazoezi anawezesha damu kuzunguka na kufikia sehemu zote za mwili kwa kiwango kinachotakiwa. Kukaa ofisini kutwa na kurudi nyumbani na kukaa kwenye kochi na kuangalia TV siyo aina ya maisha inayoshauriwa tuishi. Mwili unapochangamka kwa damu kufika kila mahali kwa kiwango kinachotakiwa hamu ya kutoa chakula cha usiku na kukipokea huwa kubwa.

Lakini mbaya zaidi ni kwa wanawake wenyewe pia. Kuna wanawake ambao bado wanaishi kwa miiko ya karne moja nyuma. Hawa wanangoja wanaume zao wawachokoze, wasipofanya hivyo, basi hata mwaka watakaa wakilalamika kwamba hawapati chakula cha usiku. Tukumbuke kwamba hata wanaume nao ni binadamu pia, huhitaji wakati mwingine kushtuliwa, kwani wakishtua wao tu kila siku, kuna wakati hukinai.

SOURCE: CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya
 
ni kweli kabisa.life style ya siku hizi iliyosababishwa na kupanda kwa gharama za maisha zinatufanya wanaume wengi kua hoi ifikapo jioni.ila cha msingi ni kujitahidi kadri ya uwezo ili kila aspect ya maisha ipate haki yake i.e mke apate chakula cha usiku na kazi/biashara iende kama inavyotakiwa.
vile vile ni kweli wanawake nao wasingoje tu mpaka wanaume waanze.unajua chakula kikipambwa kikavutia hata kama ulikua umechoka huna lengo la kula lazima kitakuvutia na mwisho wake utajikuta unakila.
 
Na ndio maana kama wewe ni mfanya kazi hakikisha mwanamke nae anakuwa na kazi ya kufanya ili kuwe na uwiano sawa ya nguvu za mwilini. Ili angalau akipata japo round moja asiwe na hamu ya kuendelea. Unamuuliza kwa kumtega vipi twende round ya pili? Atakwambia tufanye kesho huku Rohoni nawe unafurahi maana angekwambia tuendelee unajua wazi kuwa usingefua dafu.
 
Foleni za Dar es Salaam zinapunguza hamu ya kufanya mapenzi!

Kumaka saa kumi alfajiri - Kulala saa tano usiku! On average masaa manne ya kulala - then nadhani either side anaweza kuwa mhanga!
 
Tatizo sio kutoa chakula, tatizo ni kumshibisha mla chakula. Waume wengi siku hiz (karibu 68%) waishio mjini hawana uwezo wa kushibisha mwanamke. Utakuta akisugua mara 2 tu ktk kinu tayari kamwaga, na hawez kuendelea tena. Wengine akiwa mbali na mwanamke, muhogo wake unatanua chu**p kila dakika, lakin akiwa ana kwa ana na dem, ngoma haisimami kabisa, na hii hutokana na baadhi ya wanaume kuwa na woga au mawazo pindi akianza kuona anatakiwa aichomeke LIVE ktk kinu cha joto, wengine hata muda wa kufanya mazoezi hapati wa kutosha, hata akipumzika ndugu watataka awatembelee au watamtembelea, na huku mwanamke atataka atumie kupumzika kwa mwanaume ale msosi wa nguvu, wakat yeye mwanaume kajipangia apige tizi. So kimsingi kuna mambo mengi sana yanachangia, na hapo bado sijaelezea aina ya vyakula tunavyokula sasa ambavyo huchangia kushusha uwezo wa mwanaume kutoa dozi. Ni hayo tu
 
Foleni za Dar es Salaam zinapunguza hamu ya kufanya mapenzi!

Kumaka saa kumi alfajiri - Kulala saa tano usiku! On average masaa manne ya kulala - then nadhani either side anaweza kuwa mhanga!

fanyaneni asubuhi kabla hamjaenda makazini. Cha asubuhi kitamu.
 
Jana nilikula makaroni, nilishiba kweli.
hapa kuna mjadala gani tena wakuu.....
chakula? kama hakitoshi mbona kina baba wanagawa kwa wengi? unakuta mwanaume mmoja anagawia wanawake wanne au zaidi.
 
fanyaneni asubuhi kabla hamjaenda makazini. Cha asubuhi kitamu.

Asubuhi ya saa ngapi? Tunaamka "alfajiri" ya saa tisa na "asubuhi" ya saa 12 inatukuta ndani ya "Azania Front" tukiimba mapambio - see?
 
Asubuhi ya saa ngapi? Tunaamka "alfajiri" ya saa tisa na "asubuhi" ya saa 12 inatukuta ndani ya "Azania Front" tukiimba mapambio - see?

lol! Basi muwe mnategesha alarm mida ya sa saba. Ukilala sa nne hadi saba uchovu unakuwa umepungua.
 
Tatizo sio kutoa chakula, tatizo ni kumshibisha mla chakula. Waume wengi siku hiz (karibu 68%) waishio mjini hawana uwezo wa kushibisha mwanamke. Utakuta akisugua mara 2 tu ktk kinu tayari kamwaga, na hawez kuendelea tena. Wengine akiwa mbali na mwanamke, muhogo wake unatanua chu**p kila dakika, lakin akiwa ana kwa ana na dem, ngoma haisimami kabisa, na hii hutokana na baadhi ya wanaume kuwa na woga au mawazo pindi akianza kuona anatakiwa aichomeke LIVE ktk kinu cha joto, wengine hata muda wa kufanya mazoezi hapati wa kutosha, hata akipumzika ndugu watataka awatembelee au watamtembelea, na huku mwanamke atataka atumie kupumzika kwa mwanaume ale msosi wa nguvu, wakat yeye mwanaume kajipangia apige tizi. So kimsingi kuna mambo mengi sana yanachangia, na hapo bado sijaelezea aina ya vyakula tunavyokula sasa ambavyo huchangia kushusha uwezo wa mwanaume kutoa dozi. Ni hayo tu

Maoni yako yanafanana na maoni yangu niliyochangia katika ile forum, mchango wangu ulikuwa hivi:

Mimi nafikiri pia mazingira tunayoishi sasa hivi yanachangia wanaume kutowapa wake zao chakula cha usiku vile ipasavyo. Zamani ilikuwa ni nadra sana kukuta mwanamke akionyesha baadhi ya maungo yake (sehemu za mwili wake). Lakini sasa hivi (wakati huu tulionao) imekuwa ni mtindo kwa wanawake kuonyesha sehemu za miili yao, wenyewe wanasema wanakwenda na wakati. Hivyo mchana kutwa mwanamume
anashinda akitazama nyuchi (sehemu za wanawake zinazoachwa wazi), iwe ofisin au njiani. Hali hii inamfanya mwanamume huyu kupoteza hamu ya kutoa chakula cha usiku kwa mkewe pindi arudipo nyumbani kwani hamu inakuwa imekwisha kwa kutazama maungo ya wanawake huko njiani. Mwanamume asipozoea kuonaona maungo ya mwanamke anakuwa na hamu ya kutoa chakula cha usiku kwa mkewe.
 
nchi kama South Africa ili tatizo la kukosa nguvu kwa w/ume limekuwa kubwa sana kiasi kwamba kuna madangulo ambayo w/ume wenye nguvu wanajiuza kwa w/wake na satisfaction is guaranteed. Nadhani na huku kwetu miaka 10 ijayo tutakuwa na tatizo kama ili
 
lol! Basi muwe mnategesha alarm mida ya sa saba. Ukilala sa nne hadi saba uchovu unakuwa umepungua.

hapa hakuna cha kuweka alarm wala nini, hamu ikija na nia ikiwepo shughuli itafanyika tu!usicheze na hii kitu hata kidogo!!!!!
 
Cha asubuhi unasinzia mchana ukiwa kazini.Ni kweli ni kitamu sana ila tatizo usingizi ukiwa kazini mchana au kwenye daladala
 
dah..nilipata ushauri wa hapo juu wa kufanya mazoezi mara kwa mara.....jamani kweli yana saidia sana kwa ujumla!!!!!!nilikuwa naishia kwenye kimoja then sirudii tena...sasa hivi nimerudi kwenye bao nne....tena intervals fupifupi.....ila tatizo na kuwa na nguvu zaidi mechi za nje kuliko za ndani, but hapa nafikiri ni tatizo la kisaikolojia zaidi...
 
nchi kama South Africa ili tatizo la kukosa nguvu kwa w/ume limekuwa kubwa sana kiasi kwamba kuna madangulo ambayo w/ume wenye nguvu wanajiuza kwa w/wake na satisfaction is guaranteed. Nadhani na huku kwetu miaka 10 ijayo tutakuwa na tatizo kama ili

how to get there pliz!
 
Jana nilikula makaroni, nilishiba kweli.
hapa kuna mjadala gani tena wakuu.....
chakula? kama hakitoshi mbona kina baba wanagawa kwa wengi? unakuta mwanaume mmoja anagawia wanawake wanne au zaidi.

nyosha MAELEZO.
 
Back
Top Bottom