mito mingi
Senior Member
- Dec 21, 2014
- 196
- 108
haha m-bongo asipopata kaharufu ka mkaango anahasi hajala bado . . wenzetu hao wamewekeza kwenye hayo mambo yupo ladhi hata kuiacha familia yake mwaka mzima ili afanye kazi
majibu ni mengi lakin sijaelewa
Msosi ndo huohuo basi?Wanabeba vyakula vilivyokaushwa kwenye mifuko maalum, makopo au tyubu kama za dawa ya meno. Vilevile wana vifaa maalum kwa ajiki ya kuchemsha na kupoza maji maana baadhi ya vyakula huhitaji kuongezewa maji ili kuvirejesha kwenye hali yake kabla ya kuliwa. Unaweza kusoma link hii kwa maelezo zaidi...https://airandspace.si.edu/exhibitions/apollo-to-the-moon/online/astronaut-life/food-in-space.cfm
Mambo gani mnaleta sio lzm tuende wrote yuko mwezini waende wachache kwa faida yetu wote haiwezekani niende nikae huko miezi sita au zaidi kwa kushindia biskuti+maji ,dona+maharagwe samaki Wa Mtela jodari ,vibua,pweza, Kiepe yai nimuachie nani? Kila kama ni uzushi ulivyovitaja tuandae chombo twendeni bila kusahau mtoto nzuri pembeni kwa matumizi ya kiafya huko mweziniwanabeba "biscuits+maji" vyakula vingine vinachacha coz hawawezi beba friji la kuhifadhia.
Mambo gani mnaleta sio lzm tuende wrote yuko mwezini waende wachache kwa faida yetu wote haiwezekani niende nikae huko miezi sita au zaidi kwa kushindia biskuti+maji ,dona+maharagwe samaki Wa Mtela jodari ,vibua,pweza, Kiepe yai nimuachie nani? Kila kama ni uzushi ulivyovitaja tuandae chombo twendeni bila kusahau mtoto nzuri pembeni kwa matumizi ya kiafya huko mwezini
Wanajamvi, wasalaam
Nimekua nikiwaza kuhusu vifaa vinavyoenda kufanya tafiti kwenye sayari zingine mf. Apolo, vifaa hivi nina hakika vimetengenezwa kuwa na mwendikasi kwa kuzingatia vigezo vingi, mf. Uzito na idadi ya watu wataokapanda, vifaa vya uchunguzi vitakavyobebwa n.k
Swali langu ni kwamba, wanaapolo(wanasayansi wanaoenda kufanya tafiti nje ya dunia) wanaopanda mule maisha yao yanategemea chakula, sasa,
Je, wakati wa uundaji wa hivyo vyombo(apolo) huwa wanaweka buti la misosi, je, debe ngapi za dona na maharagwe zinaweza kuingia?
Na kama hawabebi chakula, huwa wanakula nini katika kipindi chao cha uchunguzi huko angani.?
Nawasilisha.
Nilimsiki g.bush anawaagiza wawe wanabeba mabumunda mengi.maana hayaaribiki kwa haraka.Wanajamvi, wasalaam
Nimekua nikiwaza kuhusu vifaa vinavyoenda kufanya tafiti kwenye sayari zingine mf. Apolo, vifaa hivi nina hakika vimetengenezwa kuwa na mwendikasi kwa kuzingatia vigezo vingi, mf. Uzito na idadi ya watu wataokapanda, vifaa vya uchunguzi vitakavyobebwa n.k
Swali langu ni kwamba, wanaapolo(wanasayansi wanaoenda kufanya tafiti nje ya dunia) wanaopanda mule maisha yao yanategemea chakula, sasa,
Je, wakati wa uundaji wa hivyo vyombo(apolo) huwa wanaweka buti la misosi, je, debe ngapi za dona na maharagwe zinaweza kuingia?
Na kama hawabebi chakula, huwa wanakula nini katika kipindi chao cha uchunguzi huko angani.?
Nawasilisha.
ha ha haaa! mswahili bila kumega tonge la dona hajala! chezea dona na maharagwe wewe!!🙂😉Kwa jinsi tunavyojifahamu waswahili kuhusu kupenda kula sayansi hatuiwezi ya kwenda anga za mbali,sasa vidonge tu uishi aaaaah hii hapana hivyo vyombo vya kuendea huko walau viongezwe ukubwa ipatikane space ndogo walau ya kuweka maboksi ya biskuti na catton za azam cola dona kidogoooo na maharagwe walau sembe nyakati za usiku.