Chakula gani kitamfaa mtoto wa miezi sita?

Ok asante sana Mkuu
Sasa anatakiwa ale kiwango gani kwa siku?
 
Naona unatoa madin !ila hii concept ya kuchuja uji mpaka leo siielewag!na sijawahi fanya hivyo !
 
Yaan wewe mwanamama atavar zako tuu ndio huwa zinanikosha roho wallahi!
 
naona unatoa madin !ila hii concept ya kuchuja uji mpk leo siielewag!na sijawah fanya hvyo !
ili uwe digested kirahisi. Kumbuka mtoto chini ya miezi 6 hatakiwi kupewa chochote zaidi ya maziwa. hivyo Basi utumbo wake ni laini sana uji usiochujwa huenda ukamchubua utumbo
.
 
Kape soup ya kenge na uyoga kama kakiume katakua na nguvu za kiume nyingi.
 
Hapo kwenye mtoto kuwa na kilo 10, na hajafikisha hata miezi 6....!!
Kidogo omenishtua mkuu, sababu kiafya sio salama sana kwa mtoto kupata uzito kiasihicho ikiwa yupo chini ya miezi 6
Sasa nifanyeje mkuu wakati sijampa chochote ananyonya tu na maji ya kunywa tu basi.
 
Ok asante sana Mkuu
Sasa anatakiwa ale kiwango gani kwa siku?
Mara nyingi mtoto akishiba anaonyesha dalili kua makini kuzitazama alafu kwakua mtoto wakouzito ni mkubwa unaweza kumkadiria chakula kidogo akilia unampa matunda kama papai me ndo nlianza nalo,usiogope wewe ni mama your judgement is exactly what your child requires! Mungu amekupa uwezo mkubwa sana wa kumhudumia mtoto wako kutokana na mahitaji yake huitaji formula. Kwa kumwangalia na kumuhudumia utajua tu hapa kashiba hichi ndio hichi hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…