Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
Ok aisee asante sana kwa alertKwa kuwa ndio Kwanza ana miezi sita mwazishie sembe plain, uichuje, iwe laini kabisa. Usitumie Dona, mahindi yana dawa kali za kuhifadhia yasiharibiwe Na wadudu