Chakula gani kitamfaa mtoto wa miezi sita?

Sasa nifanyeje Mkuu wakati sijampa chochote ananyonya tu .na maji ya kunywa tu basi.
Sina hakika nini ufanye mkuu...
Lakini ukienda clinic, wale wakunga watakushauri nini lakufanya
 
Kuna vitoto huwa havikatai hadi vivimbiwe ahahaaa ila ni kweli mtoto akishiba nitajua tu
 
Nenda clinic idara ya afya na lishe ya mtoto utapata ushauri wa kitaalam.
 
Zaa wa kwako Mkuu ukimpa itatosha
Nimekupa ushauri kwa sababu ninao wa tatu na mwingine ndio nipo nae uku makau nimezaa na wifi yako wa kichina tunakapa soup ya kenge na uyoga kapo imara nategemea mwezi wa 4 nije nako tz na mamayake.
 
Kababy kangu kataanza kula next week maana kanafikisha miezi sita
Naombeni diet nzuri sitaki kanenepe sana kama mama yake maana hapa kananyonya tu ila kana 10 kg.
Nikape nini wadau
Acha utani mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…