Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sina hakika nini ufanye mkuu...Sasa nifanyeje Mkuu wakati sijampa chochote ananyonya tu .na maji ya kunywa tu basi.
Lakini ukienda clinic, wale wakunga watakushauri nini lakufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika nini ufanye mkuu...Sasa nifanyeje Mkuu wakati sijampa chochote ananyonya tu .na maji ya kunywa tu basi.
Vile vibuyu vinapatikana wapi mkuu nina shida navyoSio vibuyu Ila ni jamii ya vibuyu
Kuna vitoto huwa havikatai hadi vivimbiwe ahahaaa ila ni kweli mtoto akishiba nitajua tuMara nyingi mtoto akishiba anaonyesha dalili kua makini kuzitazama alafu kwakua mtoto wakouzito ni mkubwa unaweza kumkadiria chakula kidogo akilia unampa matunda kama papai me ndo nlianza nalo,usiogope wewe ni mama your judgement is exactly what your child requires! Mungu amekupa uwezo mkubwa sana wa kumhudumia mtoto wako kutokana na mahitaji yake huitaji formula. Kwa kumwangalia na kumuhudumia utajua tu hapa kashiba hichi ndio hichi hapana
Wanasema yupo poua ni karefu piaSina hakika nini ufanye mkuu...
Lakini ukienda clinic, wale wakunga watakushauri nini lakufanya
HahahahKuna vitoto huwa havikatai hadi vivimbiwe ahahaaa.ila ni kweli mtoto akishiba nitajua tu
Call 0717/0767-454455 unaletewa popote ulipo DarVile vibuyu vinapatikana wapi Mkuu Nina shida navyo
Hujawai kuona? Mwingine kijiko kimoja hataki tenaHahahah
Sawa mkuuWanasema yupo poua .ni karefu pia
Sawa Mkuu ngoja tumalizie kunyonyesha week hiiCall 0717/0767-454455 unaletewa popote ulipo Dar
Dar Es Salaam Vegetables Market
Hata huku kunanitosha mkuu mbona ushauri mwingi sana?Nenda clinic idara ya afya na lishe ya mtoto utapata ushaur wa kitaalam.
Nimekupa ushauri kwa sababu ninao wa tatu na mwingine ndio nipo nae uku makau nimezaa na wifi yako wa kichina tunakapa soup ya kenge na uyoga kapo imara nategemea mwezi wa 4 nije nako tz na mamayake.Zaa wa kwako Mkuu ukimpa itatosha
Acha utani mama.Kababy kangu kataanza kula next week maana kanafikisha miezi sita
Naombeni diet nzuri sitaki kanenepe sana kama mama yake maana hapa kananyonya tu ila kana 10 kg.
Nikape nini wadau
Mung'unya
Utani gani Mkuu?Acha utani mama.