Chai ya maziwa mimi hapana ila viungo muhimu.Sasa upate chapati na chai ya maziwa iliyoungwa hiliki au chai rangi iliyotiwa karafuu, ni balaa! Kitambo kidogo pale Kariakoo kwa wale Wasomali wa hoteli ya Al Uruba nilikuwa napiga Chapati na Roast ya nyama ng'ombe!!
Mi vitumbua hua napika sema hua nasumbuka sana na zile chapati zake (sijui wanaziiitaje vile ). . .otherwise filling hua inakua mwake sana. Yani hapo hata nikifunga macho hamna kufeli.
Hahahaha unaringia chapati za kuchambuka ehhh? Embu tushindane siku moja . . . lolz. . .maana siri naijua sana!!
That too, aliyechemshwa with some green vegetables kwa mbali ie green peppers, aliyeungwa kwa nazi na ugali wa sembe mmmnn.BalaahVipi aliyeungwa kwa nazi? Au aliyechemsha kiustadi?
Sasa kwenye vitumbua ndo ntakununia manake sidhani kama ntaweza, na nnavyovipenda basi! Zile chapooo zake zinaitwa 'vibibi' walau hivyo ni vinyonge vyangu pamoja na mkate wa mchele!
Mi naona tufanye tu huo mpambano aisee, nahisi ntakushinda. Afu unajua supu ya matango na carrots?
Kula je. . . Unapenda na kufurahia?
Wewe usiseme mkate wa mchele sema mkate wa kumimina!! Duh na mimi kwa vitumbua tutagombana maana bila vitano situlii.Sasa kwenye vitumbua ndo ntakununia manake sidhani kama ntaweza, na nnavyovipenda basi! Zile chapooo zake zinaitwa 'vibibi' walau hivyo ni vinyonge vyangu pamoja na mkate wa mchele!
Mi naona tufanye tu huo mpambano aisee, nahisi ntakushinda. Afu unajua supu ya matango na carrots?
Angalau kula unafurahia maana kuna watu wanakula basi tu.napenda sana, tena kwa raha zangu
bora ni-play part ya baba kuliko ya mama, bora nimwage zege kuhakikisha kuna chakula mezani, wana sehemu ya kulala na shool fees zinalipwa
japo najua kupika ila siwezi jisifia sababu haiko damuni kabisa.
Hehehehehe kwa mashindano yetu sijui kama utajifunza kitu. Kila mtu atakua anaringishia mpaka anavyoskuma chapati zake kwamba ndio bora zaidi. . lolz@lizzy & king'asti
ntakuja chukua twisheni
ya vitumbua na chapati tu
Hapo kwenye nyama walau najua nikijakudoea kwa lizzy sitakuwa disappointed! Kwenye samaki mkavu or any smoked meat hamnipati, siwapendi kwa kweli. Hata kama ni kufurahia inabidi nazi kibao, na biringanya na vikorombwezo ndo vitanipa tough.
Chapati ni chapati mamie,za vitumbua zinaitwa "dida" ukiliwezea dida ndiyo uchawi wote wa kupika vitumbua unakuwa umekwisha!!Hahaha wifi we mbona ni miss 'brag much'. . lolz
Duh. . .yani kama mimi. Sehemu ambazo najua msosi wao sio mi hua nasema sina njaa hata kama tumbo linanguruma. Na kama kulala kunanihusu ntajitolea kupika ili nijue angalau dinner hainipiti.
Mi vitumbua hua napika sema hua nasumbuka sana na zile chapati zake (sijui wanaziiitaje vile ). . .otherwise filling hua inakua mwake sana. Yani hapo hata nikifunga macho hamna kufeli.
Hahahaha unaringia chapati za kuchambuka ehhh? Embu tushindane siku moja . . . lolz. . .maana siri naijua sana!!
Mama wa kwanza itabidi unifundishe.. . .kisamvu sijala nna miaka ,na huko nyuma wala sikuwahi kupika mimi.
Mi napenda zilizowekwa vitunguu swaumu vya kutosha. . YUMMY!!
chochote nipikacho lazima watu wajirambe.
Mtaani ikitokea shughuli wananiomba niwapikie esp vi birthday na kipaimara (sijui nianze kuwatoza???)
ila chapati ndo imenishinda jamani,