Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Ugali Mtama = Unafanana na kinyesi

Mlenda= Makamasi ya wa-tu wa bara asia
 
Yan nimejaribu kuwaza ktk vyote nilivyokula naona hamna hata kimoja kilichonishinda[emoji23]
 
Nilikulaga bamia nikiwa mdogo kabisa kwa kulazimishwa, nitapika siku nzimaa hadi leo nikiiona popote siwezi kula ata kwa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…