Chakula kipi kati ya hivi ungependelea kupita nacho siku ya Eid leo?

Analog

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
323
Reaction score
618
Siku ya leo maandalizi ya vyakula yanakuwa mengi na kila mtu na aina ya chakula anachovutiwa nacho
Ungependelea chakula gani kati ya hvi..?
-Biriani nyama
-Biriani kuku
-Birian samaki
-Wali njegere
-Wali nyama
-Wali samaki
-Wali kuku
-Wali maharage
-Pilau ya kuku
-Pilau ya nyama.
 
Biriani chakula kinachopaishwa sana kama Mamelody Sundowns ila ni cha kawaida, mara 100 samaki aliyechemshwa, mboga za majani au kuku wa kienyeji kwa wali, matunda, maji ya kunywa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work
 
Biriani chakula kinachopaishwa sana kama Mamelody Sundowns ila ni cha kawaida, mara 100 samaki aliyechemshwa, mboga za majani au kuku wa kienyeji kwa wali, matunda, maji ya kunywa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work
Hujakutana na birian kiongoz
 
Sikuku inapamba moto SI mchezo

Nawakarobisha rafiki zangu wa chadema maeneo ya chanika kwenye kasiri langu la tofali za kuchoma
 
Hakika masikini chakula chetu wakati wa sikukuuu lazima kiwe MCHELE.


Niliwah tembelea mji Mmoja hivi karibuni, sio sikukuu, lakini Ile meza ilichafuks misosi , na Kila msosi ulikua na jina lake la KIZUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…