Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
embu fanya na mpango ka ugali dona na mbogamboga basi aise 🐒Siku ya leo maandalizi ya vyakula yanakuwa mengi na kila mtu na aina ya chakula anachovutiwa nacho
Ungependelea chakula gani kati ya hvi..?
-Biriani nyama
-Biriani kuku
-Birian samaki
-Wali njegere
-Wali nyama
-Wali samaki
-Wali kuku
-Wali maharage
-Pilau ya kuku
-Pilau ya nyama.