Chakula kilikuwepo, kipo na kitakuwepo tu. Kwa iyo tule kwa staha tu. Iwe jioni, usiku ama alfajiri.
Siyo kuparamia na kufakamia matokeo yake kuvimbiwa na kukinai halafu kukimwaga. Wakati kuna wasiojaliwa kukipata wanalala njaa.
Chakula hakitaisha kitakuwepo tu hakitaisha.