kipima sukari tunacho na ua tunampima mara kwa mara,Cha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
Ahsante tutalizingatia ilo pia,Ujazo wa sahani ya chakula anayoweza kumaliza kulingana na mwili wake na kazi anazofanya inatakiwa uigawe kama ifuatavyo.
Igawe mala tatu, yani tatu ya tatu.
1/3 - Iwe ni chakula cha wanga.
1/3 - Iwe ni matunda na mboga mboga.
1/3 ya mwisho - iwe ni (protein) vyakula vya kujenga mwili.
Jumla 3/3.
Ukizingatia hivo na kufanya mazoezi madogo madogo hali itakua nzur kabisa.
Note:
Hatakiwi kula na kushiba 3/3 ya chakula au sahani nzima ya chakula isiyo kuwa na hizo pande zote tatu.
Written by Dr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante tutalizingatia ilo pia,
wali pia ni wanga ila akila wali sukari inapanda zaidi,
mara zote ua anakula ndizi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unataka kuuwa mtu wwCha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
Mmmmmh kwani sukari normal Ni ngapi mkuu? Maana hili huwachanganya wengi na pia maelezo ya madaktari yanayofautianaCha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
BIG NOOOOOO! sky Eclat.Sukari AMBAYO Ni normal Ni 3.5 Hadi 11.14 na hapo bado hujawa na KISUKARI.Cha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
Diet ya mgonjwa wa KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao watia hofu wagonjwa TUHuo wali unao usema tatizo mnampa robo tatu ya sahan yake na robo inayo baki mnampa mboga.
Kwa kugawa hivo nilivokwambia,
Ukifata nilivo sema,
Itakuwa anakula vijiko vitano vya wali, vijiko vinne vya mboga za majani, vitatu vya matunda na vijiko kama vinne vya nyama au maharage. Hapo lazima atashiba kabisa
Na kiwango cha chakula chenye sukar nyingi itakuwa kala kwa kiasi kidogo sana na hato pata tatizo kabisa.
Diet kwa mgongwa wa kisukar huwa na garama sana kama ulivo ona hapo, na ndio inatakiwa iwe hvo mlo wake wa kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa INAKUWA ngapi mnapo pima?kipima sukari tunacho na ua tunampima mara kwa mara,
chakula ndo inakua changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Di
Diet ya mgonjwa wa KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao watia hofu wagonjwa TU
Fikiri Kati ya mchicha au spinachi kilo 1 Ni sh ngapi na nyama au samaki Ni sh ngapi kwa kilo? Kisha ndo uoneshe huo UGHARAMA WA VYAKULA VYA MTU ANAEISHI NA KISUKARI
Mkuu mkimpima huwa na sukari ngapi na humpima kipindi kipi?Habarini wana jamvi,
Mama yangu amekua akisumbuliwa na kisukari kwa miezi miwili sasa,na changamoyo kubwa imekua ni vyakula gani vizuri kwa mtu mwenye ugonjwa huu.
msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkunielewa nilisema awe ana monitor sukari inapozidi 5.0. Na awe na insulin karibu. Hata daktari wake atakuwa amempa maelekezo.BIG NOOOOOO! sky Eclat.Sukari AMBAYO Ni normal Ni 3.5 Hadi 11.14 na hapo bado hujawa na KISUKARI.
Endapo sukari itazidi 11.4 unachopaswa kufanya Ni kupunguza kiwango kilicho zidi kwa njia hizi-:
Kupunguza ulaji w Protin, wanga na sukari.
Na KUONGEZA ulaji wa mboga mboga na kufanya mazoezi mepesi ili kuifanya sukari itengemae
Ndio naananimeandika hapo juu chakula Cha mtu ANAEISHI na KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao wanao watia hofu wagonjwa TU.Mchicha au spinachi kilo 1 UGALI Dona, gharamavipo wapi hapo MkuuMkuu kuna watu kipato kqa simu ni buku 5 tuu, naomba utambue hilo,
Na hyo buku 5 ni yakulisha familia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio inapozidi 5.0 mkuu inapozidi 11.4 hiyo ndo normalHamkunielewa nilisema awe ana monitor sukari inapozidi 5.0. Na awe na insulin karibu. Hata daktari wake atakuwa amempa maelekezo.
Ndio naananimeandika hapo juu chakula Cha mtu ANAEISHI na KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao wanao watia hofu wagonjwa TU.Mchicha au spinachi kilo 1 UGALI Dona, gharamavipo wapi hapo Mkuu