Chakula kwa mgonjwa wa kisukari

Chakula kwa mgonjwa wa kisukari

Cha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
 
1546943787835.jpeg

Hiki kitabu kingekufaa sana
 
Ujazo wa sahani ya chakula anayoweza kumaliza kulingana na mwili wake na kazi anazofanya inatakiwa uigawe kama ifuatavyo.

Igawe mala tatu, yani tatu ya tatu.

1/3 - Iwe ni chakula cha wanga.

1/3 - Iwe ni matunda na mboga mboga.

1/3 ya mwisho - iwe ni (protein) vyakula vya kujenga mwili.

Jumla 3/3.

Ukizingatia hivo na kufanya mazoezi madogo madogo hali itakua nzur kabisa.

Note:
Hatakiwi kula na kushiba 3/3 ya chakula au sahani nzima ya chakula isiyo kuwa na hizo pande zote tatu.

Written by Dr.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante tutalizingatia ilo pia,

wali pia ni wanga ila akila wali sukari inapanda zaidi,
mara zote ua anakula ndizi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo wali unao usema tatizo mnampa robo tatu ya sahan yake na robo inayo baki mnampa mboga.

Kwa kugawa hivo nilivokwambia,

Ukifata nilivo sema,
Itakuwa anakula vijiko vitano vya wali, vijiko vinne vya mboga za majani, vitatu vya matunda na vijiko kama vinne vya nyama au maharage. Hapo lazima atashiba kabisa

Na kiwango cha chakula chenye sukar nyingi itakuwa kala kwa kiasi kidogo sana na hato pata tatizo kabisa.

Diet kwa mgongwa wa kisukar huwa na garama sana kama ulivo ona hapo, na ndio inatakiwa iwe hvo mlo wake wa kila siku.

Tafuta maji ya waridi(rose water) na uweke vijiko 2 hadi vijiko vitatu katika bilauri ya maji kabla hajala chochote kwa takribani hata miezi miwili. Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu atakuwa salama na kisukari namba 2.
Kwa upande wa vyakula, anatakiwa kuepuka vyakula vya mafuta, vilivyokobolewa na vyenye sukari.
Kwa ufupi ale vyakula asilia na achane na vitu artificial.
 
Cha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
Mmmmmh kwani sukari normal Ni ngapi mkuu? Maana hili huwachanganya wengi na pia maelezo ya madaktari yanayofautiana
 
Cha muhimu awe na kipima sukari na ajipime dakika kumi baada ya kula. Awe na insulin karibu kama sugar ni zaidi ya 5.0
BIG NOOOOOO! sky Eclat.Sukari AMBAYO Ni normal Ni 3.5 Hadi 11.14 na hapo bado hujawa na KISUKARI.

Endapo sukari itazidi 11.4 unachopaswa kufanya Ni kupunguza kiwango kilicho zidi kwa njia hizi-:
Kupunguza ulaji w Protin, wanga na sukari.
Na KUONGEZA ulaji wa mboga mboga na kufanya mazoezi mepesi ili kuifanya sukari itengemae
 
Di
Huo wali unao usema tatizo mnampa robo tatu ya sahan yake na robo inayo baki mnampa mboga.

Kwa kugawa hivo nilivokwambia,

Ukifata nilivo sema,
Itakuwa anakula vijiko vitano vya wali, vijiko vinne vya mboga za majani, vitatu vya matunda na vijiko kama vinne vya nyama au maharage. Hapo lazima atashiba kabisa

Na kiwango cha chakula chenye sukar nyingi itakuwa kala kwa kiasi kidogo sana na hato pata tatizo kabisa.

Diet kwa mgongwa wa kisukar huwa na garama sana kama ulivo ona hapo, na ndio inatakiwa iwe hvo mlo wake wa kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diet ya mgonjwa wa KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao watia hofu wagonjwa TU
Fikiri Kati ya mchicha au spinachi kilo 1 Ni sh ngapi na nyama au samaki Ni sh ngapi kwa kilo? Kisha ndo uoneshe huo UGHARAMA WA VYAKULA VYA MTU ANAEISHI NA KISUKARI
 
Mkuu kuna watu kipato kwa siku ni buku 5 tuu, naomba utambue hilo,
Na hyo buku 5 ni yakulisha familia nzima
Di
Diet ya mgonjwa wa KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao watia hofu wagonjwa TU
Fikiri Kati ya mchicha au spinachi kilo 1 Ni sh ngapi na nyama au samaki Ni sh ngapi kwa kilo? Kisha ndo uoneshe huo UGHARAMA WA VYAKULA VYA MTU ANAEISHI NA KISUKARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BIG NOOOOOO! sky Eclat.Sukari AMBAYO Ni normal Ni 3.5 Hadi 11.14 na hapo bado hujawa na KISUKARI.

Endapo sukari itazidi 11.4 unachopaswa kufanya Ni kupunguza kiwango kilicho zidi kwa njia hizi-:
Kupunguza ulaji w Protin, wanga na sukari.
Na KUONGEZA ulaji wa mboga mboga na kufanya mazoezi mepesi ili kuifanya sukari itengemae
Hamkunielewa nilisema awe ana monitor sukari inapozidi 5.0. Na awe na insulin karibu. Hata daktari wake atakuwa amempa maelekezo.
 
Mkuu kuna watu kipato kqa simu ni buku 5 tuu, naomba utambue hilo,
Na hyo buku 5 ni yakulisha familia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio naananimeandika hapo juu chakula Cha mtu ANAEISHI na KISUKARI sio gharama ila gharama inaletwa na wanao wanao watia hofu wagonjwa TU.Mchicha au spinachi kilo 1 UGALI Dona, gharamavipo wapi hapo Mkuu
 
Maelezo nilio toa nime sema ale spinach na ugali peke ake?

Hiyo sahani nilio eleza hapo juu, umeielewa lakin?

Back
Top Bottom