Basi walituzidishia sisiYeees jd,whiskey,tequila,ni nzuri saaana kwenye kumarinate nyamaa esp za kuchomaa ,kuku yaaan ni balaaaa...makange ya chicken wings u can also mix jd na asali,soya black pepper ....
Ila kwenye kulewa nahisi walizidishaa saanaa nachojuaaa inakuwa na flavour ya pombe kwa mbali
Asante bby. Kiukweli that was my first time kula vile. Natamani kujipikia sometimes ila naogopaMy dear Mzigua90 ngoja nikupe fundisho la maakuli leo.
Mara nyingi wakati wa kupika nyama wazungu hupendelea kuweka pombe (hata beer wakati mwingine). Mara nyingi hutumia white wine.
Kutumia kilevi kwenye chakula kuna maana nyingi;
- flavour: pombe inachanganyika vizuri na mafuta na maji hivyo inasaidia kuongeza harufu nzuri kwenyc hakula chako. Kwa hili pombe inatumika tu kama seasoning.
- Pia kwa case ya nyama, inasaidia sana kuondoa harufu kali ya nyama (especially kama mbuzi). Unaweka kidogo tu maana ukiweka nyingi nayo inaharibu protini iliyopo kwenye nyama. Siri: tumia pombe nzito kwa red meat na pombe nyepesi (gin nk) kwa nyama nyeupe na seafood.
- Mbadala wa maji: hii nayo usiitumie sana. Hasa wakati unamalizia kupika, badala ya kuongeza maji basi unaweza kuongeza pombe.
Hao wamarekani wako kuna uwezekano mkubwa waliweka hiyo JD mwishoni mwa mapishi kwa mantiki hiyo kilevi chote hakikutoka. Generally ni ngumu kulewa kwa chakula kilichopikwa na pombe maana heat inaua uwezo wa kinywaji kile kukulevya.
Alternative nyingine, kwa kuwa umesema kuliambatana na maumivu ya tumbo, huenda your body doesn't react well to alcohol.
Ila mpaka ule nyama za kukulevya..nawe utakuwa mlafi. Yani inakubidi ule hasaa kama vile hizo nyama ndo lunch na dinner. Very rarely mtu utalewa kwa chakula kilichopikwa na pombe.
Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaaTunatofautiana. Kuna mtu akinywa glass analewa mwingine mpaka amalize chupa.
Mimi nashukru sana pombe nina allergy nayo. Nitaumwa tumbo (kama alivyoelezea Mzigua) lakini huwa silewi (anyway..sijawahi kufikia threshold yangu). Aisee nimeshawahi kujaribu kunywa shots nne vodka na niliendelea ku-function kama kawaida. Shida inakuja asubuhi tumbo linauma sana. Vivyo hivyo kwa kahawa. Si nimeshajiamulia zangu mimi maji, juice na chai. Pombe situmii asilani.
MmmhShots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
Asante bby. Kiukweli that was my first time kula vile. Natamani kujipikia sometimes ila naogopa
\Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
[emoji124]Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh
Ukinywa ukiwa umeshiba (sio ugali kwa dagaa) huwezi kulewa kirahisi rahisi...Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
Dah..hujaelewa nini? ...mbona ni kiswahili kitupu...Sjaelewa
Yaaaan www [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila mtu akaenda kulalaMbona stori imeishia katikati? Mlivyolewa siku/usiku uliishaje?
Kiongozi, kuna vitu vingine huwa si vya kujaribu kabisa!.silewi kabisa (nilijaribu hadi kwenye bangi). Ila ndiyo kama nilivyosema, huenda sikufikia tu kiwango changu cha kulewa.
Hata bangi sikulewa (high).Kiongozi, kuna vitu vingine huwa si vya kujaribu kabisa!.
Tupe mrejesho ilikuwaje?
Leo lazima ni changanye Gongo na bamia