Chakula mixer pombe kali

Chakula mixer pombe kali

Yeees jd,whiskey,tequila,ni nzuri saaana kwenye kumarinate nyamaa esp za kuchomaa ,kuku yaaan ni balaaaa...makange ya chicken wings u can also mix jd na asali,soya black pepper ....


Ila kwenye kulewa nahisi walizidishaa saanaa nachojuaaa inakuwa na flavour ya pombe kwa mbali
Basi walituzidishia sisi
 
Hahahahaja eti job description niliulizwagwa hili swali kwenye interview wht is job descrption,job evaluation,job analysis and job design daaaah kazi hizi
Yesuu. JD ningejibu ila hayo mengine ninhescore 0%
 
My dear Mzigua90 ngoja nikupe fundisho la maakuli leo.

Mara nyingi wakati wa kupika nyama wazungu hupendelea kuweka pombe (hata beer wakati mwingine). Mara nyingi hutumia white wine.

Kutumia kilevi kwenye chakula kuna maana nyingi;

- flavour: pombe inachanganyika vizuri na mafuta na maji hivyo inasaidia kuongeza harufu nzuri kwenyc hakula chako. Kwa hili pombe inatumika tu kama seasoning.

- Pia kwa case ya nyama, inasaidia sana kuondoa harufu kali ya nyama (especially kama mbuzi). Unaweka kidogo tu maana ukiweka nyingi nayo inaharibu protini iliyopo kwenye nyama. Siri: tumia pombe nzito kwa red meat na pombe nyepesi (gin nk) kwa nyama nyeupe na seafood.

- Mbadala wa maji: hii nayo usiitumie sana. Hasa wakati unamalizia kupika, badala ya kuongeza maji basi unaweza kuongeza pombe.


Hao wamarekani wako kuna uwezekano mkubwa waliweka hiyo JD mwishoni mwa mapishi kwa mantiki hiyo kilevi chote hakikutoka. Generally ni ngumu kulewa kwa chakula kilichopikwa na pombe maana heat inaua uwezo wa kinywaji kile kukulevya.

Alternative nyingine, kwa kuwa umesema kuliambatana na maumivu ya tumbo, huenda your body doesn't react well to alcohol.

Ila mpaka ule nyama za kukulevya..nawe utakuwa mlafi. Yani inakubidi ule hasaa kama vile hizo nyama ndo lunch na dinner. Very rarely mtu utalewa kwa chakula kilichopikwa na pombe.
Asante bby. Kiukweli that was my first time kula vile. Natamani kujipikia sometimes ila naogopa
 
Tunatofautiana. Kuna mtu akinywa glass analewa mwingine mpaka amalize chupa.

Mimi nashukru sana pombe nina allergy nayo. Nitaumwa tumbo (kama alivyoelezea Mzigua) lakini huwa silewi (anyway..sijawahi kufikia threshold yangu). Aisee nimeshawahi kujaribu kunywa shots nne vodka na niliendelea ku-function kama kawaida. Shida inakuja asubuhi tumbo linauma sana. Vivyo hivyo kwa kahawa. Si nimeshajiamulia zangu mimi maji, juice na chai. Pombe situmii asilani.
Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
 
Asante bby. Kiukweli that was my first time kula vile. Natamani kujipikia sometimes ila naogopa

My dear, subiri nije tupike wote usijejitengenezea sumu bure. Nitakutengenezea pork ribs ama beef burger.


Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
\

Duh wewe si mwenzangu. Mimi si mnywaji kabisa. Ila kuna siku nilitaka kujua mtu anajisikiaje akilewa. So kwangu mimi shots nne zilikuwa nyingi kwa kuwa sikuwa nimewahi kutumia kilevi. Baada ya siku ile ndipo nilipogundua kuwa kwa viwango vya kawaida mimi silewi kabisa (nilijaribu hadi kwenye bangi). Ila ndiyo kama nilivyosema, huenda sikufikia tu kiwango changu cha kulewa.

Ila nashukuru sana sinywi pombe...wacha nibaki na maji na juice tu!
 
Shots nne za vodka huwezi kulewa bwana. Mi mwenyewe nina siku na siku. Kama jana nimekunywa Heineken 6 tu nikawaka. Leo nimekunywa hata sijui ngapi ila niko kitandani mzimaaaaa
Ukinywa ukiwa umeshiba (sio ugali kwa dagaa) huwezi kulewa kirahisi rahisi...

Gonga wali kwa samaki au wali nyama baada ya lisaa limoja nenda kapige vyombo kisha urudi hapa utupe mrejesho, maana binafsi huwa silewagi haraka
 
Dah..hujaelewa nini? ...mbona ni kiswahili kitupu...
Kwa ufupi kabisa... Bby wako alikuwa na marafiki kutoka marekani...wakamchomea nyama...wakatia JD...akalewa...tumbo likamkata...na Leo rafiki Yake..gf..kapika nyama...full stop [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kiongozi, kuna vitu vingine huwa si vya kujaribu kabisa!.
Tupe mrejesho ilikuwaje?
Hata bangi sikulewa (high).

Bangi nilitaka kujua mtu akiwa 'high' anajisikiaje.

Nikavuta mara ya kwanza hola...

Ya pili wakaniambia ile bangi ya Dar haizingui..nikapewa ya Mbeya.

Ya tatu nikaambiwa hiki ndo chenyewe cha Arusha...hola

Ya nne nikavutia chumbani moshi wote ukaishia kwangu...hola.

Nikaona ni uzushi tu...sijawahi kuvuta tena.

Ila kwa pombe, kwa kweli nashukuru sana hii 'allergy' niliyonayo imenisaidia sana maishani. Pombe na kahawa kwangu lazima niumwe tumbo tu.
 
Back
Top Bottom