Chakula mixer pombe kali

Nakusubiria uje unifundishe kupika. Pork ribs itafaa zaidi. Usichelewe sasa mpaka hamu ya kuonja ikaisha
 
Ukinywa ukiwa umeshiba (sio ugali kwa dagaa) huwezi kulewa kirahisi rahisi...

Gonga wali kwa samaki au wali nyama baada ya lisaa limoja nenda kapige vyombo kisha urudi hapa utupe mrejesho, maana binafsi huwa silewagi haraka
Inakuaje kuaje. Maana wali samaki ndo chakula changu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yani wewe mgombanishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…