Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusubiria uje unifundishe kupika. Pork ribs itafaa zaidi. Usichelewe sasa mpaka hamu ya kuonja ikaishaMy dear, subiri nije tupike wote usijejitengenezea sumu bure. Nitakutengenezea pork ribs ama beef burger.
\
Duh wewe si mwenzangu. Mimi si mnywaji kabisa. Ila kuna siku nilitaka kujua mtu anajisikiaje akilewa. So kwangu mimi shots nne zilikuwa nyingi kwa kuwa sikuwa nimewahi kutumia kilevi. Baada ya siku ile ndipo nilipogundua kuwa kwa viwango vya kawaida mimi silewi kabisa (nilijaribu hadi kwenye bangi). Ila ndiyo kama nilivyosema, huenda sikufikia tu kiwango changu cha kulewa.
Ila nashukuru sana sinywi pombe...wacha nibaki na maji na juice tu!
Nashangaa unavyobugia hydrocarbons[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nini waguna?
Inakuaje kuaje. Maana wali samaki ndo chakula changu.Ukinywa ukiwa umeshiba (sio ugali kwa dagaa) huwezi kulewa kirahisi rahisi...
Gonga wali kwa samaki au wali nyama baada ya lisaa limoja nenda kapige vyombo kisha urudi hapa utupe mrejesho, maana binafsi huwa silewagi haraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yani wewe mgombanishiDah..hujaelewa nini? ...mbona ni kiswahili kitupu...
Kwa ufupi kabisa... Bby wako alikuwa na marafiki kutoka marekani...wakamchomea nyama...wakatia JD...akalewa...tumbo likamkata...na Leo rafiki Yake..gf..kapika nyama...full stop [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23]Waenda api?
Bila shaka na madhara yake kiafya unayajuaSio sana lakini. Kwa afya tu
Thubutu...!Tukarudi hostel kulala na pombe zetu mfyuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Why ex bae?
HahahahaSjaelewa
Afadhali umekuja unitafsirie[emoji1]Hahahaha