Chakula ni kipimo sahihi cha Tabia na Ustarabu wa Mtu

Chakula ni kipimo sahihi cha Tabia na Ustarabu wa Mtu

Dah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaa!Dah!We jamaa akili zako unazijua mwenyewe.
 
Write your reply...Linapokuja suala la kupata chakula cha jumuiya yatupasa kutumia busara sana.Ni vema uonapo maandalizi ya msosi yameanza ukaiambia nafsi yako kimoyomoyo..."tulia,tulia usiniaibishe tulia"...!
-Nimewahi kushuhudia watu wakipigana kisa ubwabwa wa shughuli.
-Nimewahi kushuhudia mtu mzima alikabwa na nyama hadi akafa kwenye ubwabwa wa hitma.
-Nimewahi kushuhudia mama mtu mzima amekamatwa kaiba ubwabwa wa shughuli kaficha chombo kwenye khanga akipeleka nyumbani kwake.
Sasa,when it comes to "ubwabwa nyama wa shughuli" omba malaika wema wakuongoze usitie aibu.
 
Dah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sikujua km ungemalizia hivo
 
Hata mwanamke ukitaka umjue vizuri au rafiki yako mkaribishe chakula.

Kama hana ustaarabu kwenye kula hata maishani hana ustaarabu.
 
Back
Top Bottom