π€£π€£π€£π€£π€£Kwenye shughuli sijui watu huwa wanakuwaje yani hata unaejua ni mstaarabu anabadilika kwa sababu ya msosi.
Hahahahahaaa!Dah!We jamaa akili zako unazijua mwenyewe.Dah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol shikamoo brotherduh...aibu sana
Dah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa!Sidhani kama ana roho mbaya kweli.Huwa nawaza tu ni mtu anayependa maskhara na uchokozi sana.
huyo ni hatari sana
Duh!Hadi kwenye milo ya jumuiya kuna watu wana VIP treatment?Miaka ya nyuma tulikua tnamuona MTU Wa ajabu mwaka juzi nilienda kwenye msiba nikakuta ameshawekewa utaratibu Wa kupelekwa chumba maalmu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Hadi kwenye milo ya jumuiya kuna watu wana VIP treatment?
Noma sana.Ukimuona umukeishe!Kwa kijijini anajulikana maana anakalisha plate 5 akija mjini atapata tabu afu nimtu mzima sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli haijakaa sawa[emoji4]Mkuu acha kabisa utamu wa ubwabwa wa shughulini haufananishwi na chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππππsikujua km ungemalizia hivoDah...mie sijui nimerogwa? Nikienda kwenye sherehe..ukifika muda wa chakula...Moyo hunienda mbio...nakuwa na wasiwasi sana na jasho hunitoka kwa wingi..huwa napenda kuwa wa Kwanza kuchukua msosi....ili nipate nafasi ya kurudia....[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaaa!Dah!Nilipomsoma mara ya kwanza niliiambia nafsi yangu iache kuwaza kama ulivyowaza.
Anataka kutuambia ubwabwa ni mtamu kuliko.Hahahahahaaa!Dah!Nilipomsoma mara ya kwanza niliiambia nafsi yangu iache kuwaza kama ulivyowaza.
Hahahahahaaa!Inategemea.Naishia hapo.
Uswahilini "utabatizwa" kwamba weye ni mchoyo.