Chakula kinasafiri mwilini kwa mtiririko huu.
Chakula huingia mdomoni na kusagwa sagwa kuwa vipande vidogo ili kuongeza surface area na kusaidia kipite vizuri kwenye alimentary canal.
Wakati wa utafunaji, mate huwa na vimeng'enya (enzymes)vinavyosaidia kumeng'enya (digest) wanga.
chakula husafiri kwenye tyube inayoitwa alimentary (food) canal inayoanzia mdomoni hadi mkunduni.
Tyube hii imegawanyika ktk maeneo yafuatayo: Mdomo, aesophagus, stomach, utumbo mwembamb, utumbo mpana na mukundu (cloaka).
Chakula husafiri kutoka mdomoni hadi kwenye tumbo kwa kutumia 'mwendo kasi' ujulikanao kama Peristalisis.
Kikifika tumboni mmeng'enyo huanza kutegemea na aina ya chakula.
Mfano vitamini zote huwa ni water soluble or fat soluble kwa hiyo hizi hunyonywa moja kwa moja toka tumboni hadi kwenye mishipa ya damu.
Madini kama Carbohydrates na Protein humeng'enywa kwa kutumia vimeng'enya vinavyoitwa Enzymes... Zoezi la kumeng'enya chakula hufanyika kwenye utumbo mwembamba.
Chakula kilichomengenywa hunyonya na mishipa ya damu ya kwenye utumbo na hiki chakula hupitishwa kwenye maini kunyonywa sumu kabla ya kusambazwa mwilini.
Yale makapi ya chakula husafirishwa toka kwenye utumbo mwembamba hadi utumbo mpana.. Kwenye utumbo mpana zoezi la kunyonya maji maji hufanyika na kufanya kinyesi kuwa kigumu.
Maji husafirishwa kupitia damu hadi kwenye figo ambayo inahusika na kubalance kiasi cha maji mwilini.
Kile kinyesi kwenye utumbo mpana husafirishwa hadi kwenye mukundu ambao umezibwa na sphincter muscles.. Hii ni misuli ambayo iko controled na voluntary muscles.. Pale mtu anapotanua mukundu zoezi la kuny.a ndio hufanyika.