Chalamila akusudia kuanzisha oparesheni maalumu dhidi ya waganga wa kienyeji Dar!

Sasa anaoteshwa ngiri maji kwa kuwa ni aboubakar anaweza vaa kanzu na msuli!
 
Katiba ipi inaruhusu mganga kuuwa albino
 
Huyu mtu kichwa kibovu hasa anafanya vitu kwa matukio hata hajui anataka nini.
 
Wapiga ramli hawaruhusiwi kokote.

Wa tiba asilia ndio Wana vibali na Ruksa kisheria.
 
Huyu kachoka kula matunda ya Uhuru!!
 
Siyo waganga wote wanahizo tabia za ushamba anzosema. Ni kama vile useme daktari mmoja wa Muhimbili amekosea wafurumushwe wote. Waganga wengi wamekuwa msaada kwa wananchi hata kabla ya tiba za hospitali hazijaingia. Tuende wapi wananchi kama huduma zetu zinafanyiwa mzaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…