Chalamila akusudia kuanzisha oparesheni maalumu dhidi ya waganga wa kienyeji Dar!

Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?

Yani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia waganga wa kienyeji kwa sheria zipi za nchi wakati waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kwa katiba ya nchi hii?!
Sasa anaoteshwa ngiri maji kwa kuwa ni aboubakar anaweza vaa kanzu na msuli!
 
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?

Yani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia waganga wa kienyeji kwa sheria zipi za nchi wakati waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kwa katiba ya nchi hii?!
Katiba ipi inaruhusu mganga kuuwa albino
 
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?

Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia waganga wa kienyeji kwa sheria zipi za nchi wakati waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kwa katiba ya nchi hii?!
Huyu mtu kichwa kibovu hasa anafanya vitu kwa matukio hata hajui anataka nini.
 
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?

Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia waganga wa kienyeji kwa sheria zipi za nchi wakati waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kwa katiba ya nchi hii?!
Wapiga ramli hawaruhusiwi kokote.

Wa tiba asilia ndio Wana vibali na Ruksa kisheria.
 
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?

Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia waganga wa kienyeji kwa sheria zipi za nchi wakati waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kwa katiba ya nchi hii?!
Huyu kachoka kula matunda ya Uhuru!!
 
Siyo waganga wote wanahizo tabia za ushamba anzosema. Ni kama vile useme daktari mmoja wa Muhimbili amekosea wafurumushwe wote. Waganga wengi wamekuwa msaada kwa wananchi hata kabla ya tiba za hospitali hazijaingia. Tuende wapi wananchi kama huduma zetu zinafanyiwa mzaha?
 
Back
Top Bottom