Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hii nchi tutaona mengi, MWINGINE alituambia tuhame nchi twende Burundi, huyu leo anatufukuza dar twende kijijini, bado mnaona hii nchi yenu??? Ya wachache wenye mamlakaNi lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.
Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.
Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!
Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?
Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?
CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
Hao ndiyo washauri wa Rais [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.
Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.
Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!
Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?
Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?
CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
Huyo ndo turufu ya CCM mkoa wa DarNi lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.
Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.
Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!
Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?
Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?
CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
Kama CCM ilivyompumzisha Yusufu Makamba, msema ovyo, huyu naye ngojeeni jiwe la utosini.Huyo ndo turufu ya CCM mkoa wa Dar
CCM ni chaka la wahuni.Kama CCM ilivyompumzisha Yusufu Makamba, msema ovyo, huyu naye ngojeeni jiwe la utosini.
Safari hii anayemleteaga bange naona kamix na kitu sio bure.Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.
Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.
Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!
Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?
Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?
CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
Ametukuta hapa...anakuja mjini sisi tunamuangalua tu....ataondoka yeye atatuacha sie.........Ditopile aliwaambia watu design hii tongotongo zikushawatoka ndio wanakuwa hivyo......Muhame shida nini mtu mjin panakushinda bado mnang'ang a hebu hamen muwaachie wenye uwezo napo kaz kujaza folen tu na kufanya mji uwe hewa chafu
Hawa watu kama Chalamila hawakupitia chuo chote cha uongozi.Safari hii anayemleteaga bange naona kamix na kitu sio bure.