Chalamila amepaniki mpaka anawatishia maisha wafanyabiashara, adai akiwachimba mkwara hawataamka tena

Chalamila amepaniki mpaka anawatishia maisha wafanyabiashara, adai akiwachimba mkwara hawataamka tena

Mama aandike twita na kutoa amri.... Wenye leseni ya biashara mfungue maduka na TRA nendeni mkaangalie ambaye hajafungua mfute leseni yake ili afanye kazi nyingine.

Magu alikuwa anasema hajarubiwi.
Wewe jamaa ya Magu si juzi kati tu hapo? Kwamba sisi wengine tulikua hatuoni wanavyogoma hapo Kariakoo kipindi chake?

Nchi haiendeshwi kama kikundi cha Masela wa Manzese. Na kama unaona rahisi kufuta leseni nenda kafute wewe.
 
Waliofungua ni wasaliti wakubwa. Ndio maana Jomo Kenyata alisema Watanzania ni maiti haziwezi kuamka tena kudai haki yao
Kwa huo mkwara watafungua tu maana wafanyabiashara wetu pamoja na kwamba hoja zao ni za msingi ila hapo aliposema akiamua kukaa K/koo na kukagua Kodi lazima mmoja mmoja ataanza kurudi kutokana na mtindo wao wa kutotoa receipt za EFD na kama wakitoa basi inakuwa pungufu ya bei halisi
 
Mkuu wa mkoa, Albert Chalamila amefika Kariakoo kujaribu kufungua maduka lakini katika harakati hizo ameweka vitisho vilivyopitiliza..

Chalamila: Aliyekubali kufungua afungue na yule ambae atamletea mkwara mtu yeyote yule aliyekubali kufungua naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo nitakapoonesha shoo nzima. Wewe unakuja unamletea mkwara, mimi nitakuchimba mkwara na hautaamka tena, na hili naomba niwaeleze ndugu zangu wa Kariakoo, utoto ukizidi hatuwezi kufikia hapo"

Kingine Chalamila amesema andapo akienda kukaa Kariakoo na kukagua kodi na risiti hamna mfanyabiashara atabaki kuendelea kufanya biashara Kariakoo, kama Serikali inajua kodi zilizowekwa hazina uhalisia na hazilipiki na watu hawalipi kwanini wanaziweka? Mwisho ni kosa la jinai kutishia maisha ya mtu.

Pia, soma=> Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”
Daah aisee
 
Pole sana. Hujui.
Yaani uwazidi Kenya wewe?. Kwa kipi ulichowazidi Kenya?.

Kenya wana katiba bora sanain Africa. Sio kama hapa kwetu kiongozi anaweza kuongea lolote kwamba atakaefanya hiki nitampoteza halafu bado yupo madarakani. Kiongozi hapa kwetu anaweza kuongea lolote baya dhidi ya mwananchi aliemuweka madarakani,na bado akaendelea na wadhifa wake. Kenya hiyo haipo.

Wakenya wanaweza kuandamana kwa Uhuru tu ksbb katiba inawalinda,ndio maana polisi wa Kenya hawapigi marungu au risasi ya kuua wandamanaji ksbb wanaheshimu na kufuata katiba. Hebu jaribu kuandama hapa kwetu.

Kenya wametuzidi hata uelewa tu. Hata maendeleo wametuzidi. Democracy watuzidi. Elimu wametuzidi. Uchumi wametuzidi mbali sana. Karibia inaweza kuwa ya 6,7 hapo Africa baada ya south africa,Nigeria na Ghana,Eagpt. Kwa wewe uko kama kwenye chungu hivi huwezi kujua
Tuna katiba ya hovyo sn
 
Back
Top Bottom