Chalamila amepaniki mpaka anawatishia maisha wafanyabiashara, adai akiwachimba mkwara hawataamka tena

Mama aandike twita na kutoa amri.... Wenye leseni ya biashara mfungue maduka na TRA nendeni mkaangalie ambaye hajafungua mfute leseni yake ili afanye kazi nyingine.

Magu alikuwa anasema hajarubiwi.
Wewe jamaa ya Magu si juzi kati tu hapo? Kwamba sisi wengine tulikua hatuoni wanavyogoma hapo Kariakoo kipindi chake?

Nchi haiendeshwi kama kikundi cha Masela wa Manzese. Na kama unaona rahisi kufuta leseni nenda kafute wewe.
 
Waliofungua ni wasaliti wakubwa. Ndio maana Jomo Kenyata alisema Watanzania ni maiti haziwezi kuamka tena kudai haki yao
Kwa huo mkwara watafungua tu maana wafanyabiashara wetu pamoja na kwamba hoja zao ni za msingi ila hapo aliposema akiamua kukaa K/koo na kukagua Kodi lazima mmoja mmoja ataanza kurudi kutokana na mtindo wao wa kutotoa receipt za EFD na kama wakitoa basi inakuwa pungufu ya bei halisi
 
Daah aisee
 
Tuna katiba ya hovyo sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…