Mama aandike twita na kutoa amri.... Wenye leseni ya biashara mfungue maduka na TRA nendeni mkaangalie ambaye hajafungua mfute leseni yake ili afanye kazi nyingine.
Magu alisema hajaribiwi, kiko wapi sasa, mambo kama haya sio ya kutumia ubabe, kutumia ubabe unaaribu pakubwa kuliko kutengeneza, mtu mpaka anaamua kufunga ofisi yake jua tiyari yupo na optional kibao.