Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shibe ni mwana malevya na njaa ni mwana malegeza.. 🤸🤸🤸
Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote.

Hii kauli hutolewa katika mizozo au matisho vikao vya kifamilia au kiukoo, Mkoa wa DSM wageuka ni ukoo wa Chifu Chalamila. Anawatisha subordinates wakati yeye ni boss kubwa baba lao. Eeh swela lukolo. Swela swela imebambika na ikabambwa.

A good leader knows how to handle provocative minded individuals.

Wahehe mmeshindwa kumsaidia kiranga wenu, ndugu bwatu bwatu Chalamila, hali ni tete hekima na busara ndio nguzo za kuongoza mkoa wa DSM.

Uspokuwa mrefu kwenye akili na maarifa kichwani kama urefi wa Mnyama Twiga jiandae kuanguka.

Bye bye Chalamila ukichomoa hili basi nchi hii itabatizwa shamba la mbwa wasio na mfugaji.

Shibe mwana malevya na njaa ni mwana malegeza.

This is the impact of position bulldozing.

am out

Wadiz.
 
Kwani kafanyaje?
 
He imekuaje tena, mbona mipasho ya taarabu.......kuna nini
 
Sema umeandika kama shaban kisu anatangaza mpira anyway squeacking wheels no longer gets the grease
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…